ni kweli usemayo,yaani ajali nyingi hapakwetu tanzania ni uzembe wa kijinga wa madereva!yaani unakuta hakuna kuzingatia sheria za barabarani hata kidogo!Kama umekaa sana nchi za ughaibuni, ukirudi bongo utaogopa kushika gari barabarani. Kwani hawashiki sheria kabisa, Ukipanda daladala ndo kabisa. Siku hizi wamejitahidi kuthibiti mwendo wa mabasi ya abiaria, kwani wakifika kizuio cha polisi barabarani mapema kabla ya muda unaotakiwa watakuwa na matatizo, hilo limesaidia kupunguza mwendo.
To all drivers THINK B4 you ACT ,Sometimes eyes can't measure the Distance