Ajali mbaya usiku huu

Fideliiiz

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
632
407
Kuna Ajali mbaya imetokea usiku huu maeneo ya Mwananchi tabata Mi nimepita tu sina taarifa zaidi mwenye taarifa anisaidie plz
 
Kuna Ajali mbaya imetokea usiku huu maeneo ya Mwananchi tabata Mi nimepita tu sina taarifa zaidi mwenye taarifa anisaidie plz
Duh nimepita hapo dakika chache zilizopita kuna mwili nimeuona ni kama bucha! Sijui ni dereva wa bodaboda au mtembea kwa miguu
 
Duuu mapepo yameshavuna damu isiyo na hatia. Hatari sana aisee! Mungu awaweke marehemu mahali walipojichagulia
 
Dar es salaam Usiku Ni Balaa

Kuna uzi humu ndan unatushaur! Kama hatuna sabab ya kutembea usiku ni heli tutulie ndan tu!!

Usiku Ni Balaa!!
Usiku bwana, kuna ile barabara ipo empty halafu unajisikia tu kukanyaga, end of it mtu kakatiza buuuu..
 
Tupeni habari iliyokamilika sio mnaanza kusimuliana nyie wenyewe toweni habari iliyonyooka ili wengine wajue pia.
 
mi mwenyewe wiki mbili zilizopita kaka yetu alikuwa na bodaboda kagongwa na mwendokasi pale magomeni kagera,amepasuka had kichwa
 
Back
Top Bottom