Ajali mbaya Ubungo mataa: Dereva bodaboda afa kwa kugongwa na kuburuzwa na gari

hapo ubungo mataa hao watu wa bodaboda hawapo makini sana, huwa wanasoma upepo wa trafik na wanajifanya wana haraka sana. nilishasema sipandi bodaboda tena, tangia niburuzwe nayo sina hamu.
 
Nimewahi kushuhudia boda boda akipasuliwa kichwa pale Ubungo na lori kubwa na ubongo wake ulitawanyika umbali mrefu sana. Ilikuwa ni ajali mbaya kuwahi kushuhudia
 
Hata mgundin kwao wanaposubiri abiria wao huwa nawashangaa sana,wengi shule hamna wala nidhan wala busara,eti wanaulizana kati ya Kinglion na Fekon ipi inakimbia sana,si wakaanza kushindana bhana,m1 akavamia karavati na ndipo akaisoma pindi aliporushwa juu na kufika chin akiwa kiuno hakina ushirikiano na mwili pumbav.
 
Sasa kiwanda cha kutengeneza pikipiki kikijengwa si tatizo litakuwa maradufu! Maana kuna mwekezaji tayari ameonyesha nia.
 
Back
Top Bottom