Ajali mbaya Ubungo mataa: Dereva bodaboda afa kwa kugongwa na kuburuzwa na gari

nmeacha panda boda boda bora nichelewe lakini nifike

sijui huwa wanawaza nini

Mimi kukishakuwa na barabara busy tu,huwa sipandi bodaboda eti inipitishe morogoro road,pugu road mahali ppote pale kwenye lami palipo busy huwasipandi bodaboboda,napanda bodaboda let say kutoka africana kwenda white sands
 
Baadhi ya dereva bodaboda nadhani wana upungufu wa akili,huwa hawajali kabisa usalama wao na wa abiria kama kambeba.Unakuta dereva boda ana overtake magari hata bila kuchukua tahadhari utadhani labda yupo kwenye mashindani ya pikipiki. Acha wazidi kupungua labda wanaobaki watapata somo.

Kuna tabia nyingine wanayo kwenye mataa ya kuongozea magari,yaani hawajali kabisa zile sign za taa,akiona upenyo mbulumundu huyo kachomoka na mwisho wa siku kama wewe umekuja na gari upo spidi itabidi hata umkwepe.

Kitu kingine wao wanaona wanaonewa na wa magari na ndio maana mwenzao akigongwa yaani wenyewe bila kuuliza chanzo cha ajali basi wataanza kumshambulia wa gari hata kufukia kumuua ama kumchomea gari.

Na wazidi kufa tu maana tumechoka.
Nakushauri utafute leseni ya kuendesha pikipiki kwanza,uitumie kama sheria inavyosema kisha ulete mrejesho humu,naamini utapata uzoefu kama dereva ambao ulikuwa huujui.hapa siongelei dereva anaeendesha amekunywa pombe iwe ni gari au pikipiki.Pata class A1 kwanza.
 
Mimi kukishakuwa na barabara busy tu,huwa sipandi bodaboda eti inipitishe morogoro road,pugu road mahali ppote pale kwenye lami palipo busy huwasipandi bodaboboda,napanda bodaboda let say kutoka africana kwenda white sands

Hawa boda boda kuna muda wanaanguka wenyewe bila hata kuguswa

Sio lazima barabara iwe busy
 
Oooh Mungu amrehemu marehemu! Jamani madereva bodaboda tuwe makini sana hasa kwenye mataa, kwani kuna tabia ambazo sio nzuri ambapo utakuta bodaboda anavizia kisha anatoka spidi wakati sio zamu yake.

Pia nyie madereva magari muwe mnatuhurumia jamani tutaisha wenzenu
.


gango2 Avatar yako inatisha sana
 
Hawa boda boda kuna muda wanaanguka wenyewe bila hata kuguswa

Sio lazima barabara iwe busy
Unajui ni ile wanatafuta upenyo wa kupita,hii ni hatari sana lolote laweza tokea,yaani watakufa kama panzi
 
Back
Top Bottom