Ajali mbaya sana ikilihusisha basi la Allys: Buhongwa Mwanza

skatt

Member
Aug 5, 2012
10
0
Wadau,

Kuna ajali mbaya sana ikilihusisha basi la Allys na daladala eneo la Buhongwa Mwanza, nimeshuhudia watu 6 wamekufa papo hapo.
 
wadau kuna ajali mbaya sana likalihusisha basis la allys na daladala eneo LA buhongwa mwanza nimeshuhudia watu 6 wamekufa papohapo

Mida gani hiyo, na hiyo ALLYS ya wapi? Bila kusahau picha kidogo Mkuu
 
Kaa tulia kidogo, shusha pumzi, kisha elezea taratibu, ni habari ya kusikitisha kwa taifa letu.
 
mwisho wa mwaka haya matukio huwa ni mengi.ona huko arusha dege lenye abiria 200 lilikuwa liuwe wote.mungu awalaze mahali pema peponi
 
Jamani, Eee Mungu tunusuru na hizi ajali, siku tatu zijazo wanangu watasafiri kwenda kwa babu yao, hadi naogopa jamani
R.i.p yani katoka tabora kaja kupata ajali hapo buhongwa,few km hadi nyegezi.
 
wadau kuna ajali mbaya sana likalihusisha basis la allys na daladala eneo LA buhongwa mwanza nimeshuhudia watu 6 wamekufa papohapo

jamani buhongwa c walikuwa wameshafika jaman eeh mungu warehemu marehemu wote dah
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom