Kumetokea ajali mbaya karibu na eneo alilopata ajali regia mtema ambapo coaster yenye abiria iliyokua inatoka mlandizi kwenda moro imegongana na lori la mafuta.watu watano wamefariki na majeruhi wanakimbizwa tumbi
:dizzy: Ooooh Adolph poleni sana kwa tukio hilo:dizzy:Kumetokea ajali mbaya karibu na eneo alilopata ajali regia mtema ambapo coaster yenye abiria iliyokua inatoka mlandizi kwenda moro imegongana na lori la mafuta.watu watano wamefariki na majeruhi wanakimbizwa tumbi