Ajali mbaya imetokea Mkoa wa Rukwa, kumeripotiwa majeruhi na vifo

srinavas

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,023
3,583
Ndugu habari zenu. Na poleni kwa uchovu wa Fiesta.

Nipo hapa nasikiliza redio free africa ghafla napata breaking news kuwa kuna ajali mbaya imetokea sumbawanga na ikathibitishwa na jeshi la polisi kuwa ni ajali mbaya sana na mpaka sasa kumeripotiwa vifo na majeruhi.. Tafadhali mwenye habari zaidi aje atujuze hapa..

Nawasilisha..
 
Wengine wanasema Tinde Shinyanga, au inakuaje ni tofauti?....Nasikia Noah kugongana na Lorry (Scania)
 
Wengine wanasema Tinde Shinyanga, au inakuaje ni tofauti?....Nasikia Noah kugongana na Lorry (Scania)
Hata sijaelewa mkuu. Maana nimeikutia tu redioni. Ndio maana nikaja kuomba habari zaidi hapa
 
Back
Top Bottom