Ajali mbaya imetokea leo usiku mikocheni

lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,496
1,035
Habari za jioni wanajamvi kuna ajali mbaya sana imetokea hapa karibu na hosp ya tmj mama ntilie alikuwa na mwanae wametoka uza chakula wakati wakivuka barabara gari likawapitia wamekimbizwa hapa tmj hosp mungu awajalie wapate ahueni ma pema.
 
Mungu awajaalie wasakatonge hawa ambao hata Emmanuel mbogo amewazungumzia katika riwaya ya Watoto wa mama N'tilie
 
Yaani inasikitisha vitu walivyokuwa navyo hakuna kilichosalia.
 
...hilo eneo madereva wanajiachia sana siku kukiwa hakuna foleni...
 
Back
Top Bottom