Ajali mbaya Ilula: Basi limegonga na kuua waendesha bodaboda wawili

isitosho barabara ya mwendo kasi ni clear unaona hata km 1 haina msongamano wala guta wala baiskeli huwa wanafanya kusudi kugonga mtu
mwendokasi kugonga mtu mmoja safi sana, anaokoa maisha ya wengi walio onboard
 
Kanikaa kichwani yule kaka
Halafu Boda Boda wabinafsi mnoo
Yani kamtelekeza abiria apambane na mwendo kasi
Yees. Yaan kosa kabisa lilikua la bodaboda. Maana amekatisha huku amebeba abiria.

Pia mwendokasi ndo tabia zao hasa wakiona mkatishaji anapita tena hasa bodaboda. Yaan ndo wanachochea spidi. Nakuambia hapo shekilango siku 2 nyuma wamekufa watu wawili hapohapo tena.
Mwenyezi Mungu mrehemu huyu kijana jamani
 
Boda boda...

Ni mwezi wa tano huu toka wa mdondoshe

Dada yangu kwa mwendo kasi wao..

Matokeo mpaka yupo kitandani...

Hatembei, hasimami wala kukaa..

India nako hakuendeki..corona ..
 
Pole sana Ndugu kwa Kuishuhudia hiyo Ajali mbaya ila kuna sehemu nyingine Gari ya Wagonjwa iliyokuwa imembeba Mgonjwa mahututi kumuwahisha Hospitali imepata Ajali ambapo Dereva na Muuguzi wamekufa papo hapo na cha Kushangaza Mgonjwa nae ghafla tu akapona na kutaka arejeshwe Kwake aendelee na Majukumu yake ya Kawaida ya Kujenga nchi.
Wewe itakuwa chanjo imeharibu ubongo wako sio bure
 
Naona na baridi limekuchanganya unashindwa kuandika content keys?
Hakuna baridi mkuu huku hali ya hewa nzuri. Niko ndani ya Kilimanjaro Express kwenda Tunduma. Bujibuji za siku! Au umeloea Dar
 
Guys na mimi ni msafiri tu.

Huyo bodaboda mmoja alikuwa kampakia mama, bodaboda na huyo mama wote wamekufa.

Mbele tumeona basi mbili zimekamatwa mojawapo ni NEW FORCE, nahisi huyu New Force ndio kafanya mambo kwa fujo zake.

Sehemu inaitwa Ilula mabandani.

Basi lilikuwa linaenda Dar
Wewe umepewa Taarifa tuu

New force kwa ilula zinapita saa saba kutokea Dar kwenda mbeya mchana na kutokea mbeya saa tano asbhi
Sasa hili new force la asbhi la wapi?
 
Wewe umepewa Taarifa tuu

New force kwa ilula zinapita saa saba kutokea Dar kwenda mbeya mchana na kutokea mbeya saa tano asbhi
Sasa hili new force la asbhi la wapi?
Kabla ya Mambo ya tochi na speed governor, nilishawahi kufika Ilula saa nne nikitokea Mbeya. Tukanywa chai kwa msomali. Nane juu ya Alama tuko Moro. Kumi kasoro mnazi mmoja. Like bus nimelisahau jina. Lkn wenyeji wangu Mbeya walinihakikishia kabla ya saa kumi nitakua Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom