Ajali mbaya Florida USA - 10 wafa papo hapo na 18 wajeruhiwa vibaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali mbaya Florida USA - 10 wafa papo hapo na 18 wajeruhiwa vibaya

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Jan 30, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG][​IMG] [​IMG][​IMG][​IMG]

  Ajali mbaya huko Florida karibu na mji wa
  Gainesville iliyosababishwa na hali mbaya ya ukungu na moshi . Ni moja ya ajali mbaya sana zilizowahi kutokea miaka ya karibuni baada ya ile ya Maryland miaka si zaidi ya mitano iliyopita.

  Kwa habari zaidi bofya hapa: ​
  Ten killed in massive highway pileup
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Acha wazungu nao waonje machungu ya ajali za barabarani. Kila siku sisi tuuuuu
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Yaani hata mabaya mwaombeana, wenzenu yatokea bahati mbaya wanazo rules and regulation barabara za kuaminika na zinafuatiliwa kwa kiwango fulani. Na nyie zipo hizo rules but nobody follows, yaani nyingi ajali zinatotekea hapa nchini ni uzembe tu
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ajali iliyotokea si ya kizembe kama zinavyotokea bongo, mazingira mabaya ya hali ya hewa na moshi uliozingira eneo hilo uliosababisha mmoja wa madereva kusimamisha gari ili asiendelee ndio ulisababisha tatizo hilo. Na uchunguzi unaofanywa hapo ujue sheria zataangaliwa upya na kufanya tatizo kama hilo lisitokee tena. Bongo yakishatokea maana ndio mwanzo wa maafa mengine.
   
 5. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sisi ujinga ndo unatuua, asilimia 95 ya ajali ni kafara wanazotoa wamiliki wa mgari hayo ama wachawi wanataka damu za watu!
   
 6. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kafara za Romney & Gingrich?
   
 7. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Cha ajabu ni nini? sisi bongo tumezizoea.
  Mbona sijaona,pole na RIP kama zinavyo mwagwa ajali ikitokea bongo?
   
 8. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Haituhusu hii.
   
Loading...