nanawoo
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 1,267
- 1,215
Chanzo cha ajali ni gari ndogo ngorika alikua speed akaovateki na driver wa ratco hakuweza kuitoa gafla nae alikua speed na driver wa ratco ni ndugu yangu kabisa hivi navoongea nipo hsptl ya handeni ndo nimefika hali yake si nzuri kakatika mguu mmoja pale pale na mgine umevunjika na hapa.kaingizwa katika chumba cha opparation na kashaongezwa damu chupa mbili ndo tupo hapa tunasubir hatma za mwenyezmungu ila kwa hali alonayo hairizishi hata kidogo