Ajali Lukumburu, Wahanga 36 Bus Shabiby, Ni Mnara

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,596
1,071
Mnara huu / jiwe hili lingeheshimiwa na kutumika kuhamasisha kuelimisha usalama barabarani,


lakini sijui ni TANROADS au Mikoa ya Njombe na Ruvuma zimeutekeleza. Wahanga hawa hawajaenziwa ipasavyo.


Unazua maswali mengi kwa wale waliopoteza wapendwa wao 36 kwenye ajali ya SHABIBY BUS milima ya Lukumburu.


Mbaya zaidi majina yao hayajawekwa kwenye mnara huu uliosongwa na majani na unaochakaa kwa kasi
.

attachment.php
 

Attachments

  • Lukumburu tomb.jpg
    Lukumburu tomb.jpg
    1 MB · Views: 686
Hujaeleweka hata, umetuweka viroho juu juu tukifikiri ni ajali nyingine, badilisha heading tafadhali...
 
Hii ajari ilikuwa mwaka gani vile
Hii ajali ilitokea mei 16 2002,mwezi mmoja kabla ya ajali ya treni iliyoua wengi huko dodoma.na ni mwaka huo huo kivuko kiliua huko kilombero,ulikuwa ni mwaka wa ajali mbaya za mfululizo.hayati che nkapa aliingia na kumaliza utawala wake kwa ajali zenye vishindo
 
Back
Top Bottom