Ajali kwa matiasi imesababisha foleni kubwa Sana

Mshana Jr sijui utakuwepo home au ndo uko mabibo yaani Kuna ajali ya gari kabla hujafika picha ya ndege nasikia pia palikuwa na mti umeanguka barabarani Hali hio imesababisha foleni kubwa Sana tuko mlandizi toka saa mbili mpaka Sasa hivi saa sita bado hatujafika kibaha.
Duh leo hiyo? Niko mbali kidogo na hilo eneo mpaka kesho ndio nitakuwa huko
 
Mshana Jr sijui utakuwepo home au ndo uko mabibo yaani Kuna ajali ya gari kabla hujafika picha ya ndege nasikia pia palikuwa na mti umeanguka barabarani Hali hio imesababisha foleni kubwa Sana tuko mlandizi toka saa mbili mpaka Sasa hivi saa sita bado hatujafika kibaha.
Sasa mbona unamtaja mshana jr anahusika vipi
 
Back
Top Bottom