Ajali, Kondoo: Basi la Kampuni ya Sharon Classic lateketea kwa moto maeneo ya Bicha

Mkuu ajali ya basi kondoo wameingiaje hapo
Kondoa au Kondoo? Bima ipo.
Hiyo wilaya ya kondoo ipo nchi gani??
Ni mkoa gani? maana mimi naijua Wilaya ya Kondoa iliyopo Idodomya (Dodoma), hiyo Kondoo ipo Mkoa gani?

Alafu hizi ajali za Moto mbona zimekuwa lukuki, labda kuna haja Askari/Wataalamu wa moto wawepo Barabarani sambamba na Trafiki, huenda wakikagua Bus wakaweza kung'amua viashiria vinavyoweza kusababisha moto na kuzuia majanga. na kuzuAttach filesia.
Typing error wakuu, msameheni.

Habari kamili inajieleza vyema.

Huko kukosea ni katika harakati za kutuhabarisha haraka
 
Mbona tu ni haya mabus ya zhongton na yutong kulikoni ubora wake waanza kuwa wa mashaka sasa.
 
Zhongtong na Yotong ndo zinaongoza kwa kuungua..Huenda kuna tatizo kwenye mfumo wa umeme hasa hili joto la nchi za Afrika.
Indonesia waliondoa hizo zote baada ya hizi moto kushamiri
Screenshot_2018-10-24-13-06-50-1.jpg
Screenshot_2018-10-24-13-07-37-1.jpg
 
Ni mkoa gani? maana mimi naijua Wilaya ya Kondoa iliyopo Idodomya (Dodoma), hiyo Kondoo ipo Mkoa gani?

Alafu hizi ajali za Moto mbona zimekuwa lukuki, labda kuna haja Askari/Wataalamu wa moto wawepo Barabarani sambamba na Trafiki, huenda wakikagua Bus wakaweza kung'amua viashiria vinavyoweza kusababisha moto na kuzuia majanga. na kuzuAttach filesia.
Mkuu wa wazee wa insurance and risk management tunaelewa
 
Linaungua moto gari moja tu, ila baada ya mwezi ana import gari 10 mpaka 15, mpaka mje mstukie issue ila wachache tunajua!
 
Back
Top Bottom