Ajali Kibaha

by default

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
839
215
Kibaha kuna accdent kati ya basi la wanafunz Mount Morian na Aboud.kwa mbele bus limearibika sana majeruhi wamepelekwa Tumbi, sijaona kama kuna waliokufa. Nipo ndani ya KLM naelekea kwa bibi Mo town
 
Wanauita mwezi wa MAVUNO ndugu zangu ma mangi mwez wenu wa kwenda kuhesabiwa pigeni sala idadi isipungue bali iongezeke
 
POleni sana.

Lakini bado najiuliza kila mara, kwa nini mabasi ya ABOOD yanatengeneza sana ajali???????



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Dah sijashangaa bus la abood kuhusika hapo ni kafara ya majeruhi damu imepatikana
 
Mungu wangu,ee yesu uwalinde na kuwaponya majerui wote.nimepata taarifa toka kwa teacher agnes watoto watano ndo wameumia na wako tumbi sasa hivi kwa matibabu.
Wito wangu kwa madreva wote haswa wa abood waache tabia yao ya kubana pembeni kuzuia magari yanayopita pembeni,kwani hawajui mabasi ya shule yanaruhusiwa kupita pembeni?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom