by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 215
Kibaha kuna accdent kati ya basi la wanafunz Mount Morian na Aboud.kwa mbele bus limearibika sana majeruhi wamepelekwa Tumbi, sijaona kama kuna waliokufa. Nipo ndani ya KLM naelekea kwa bibi Mo town
kibaha kuna majini mengi sana
Yaani ni kipindi cha kujikabidhi mikononi mwa Mungu.hiki ni kile kipindi drivers should very careful!! yaani MUNGU atulinde na atuvushe salama to 2013! waugue pole majeruhi na wapone tena, amen!
Yaani ni kipindi cha kujikabidhi mikononi mwa Mungu.
Jamani bado tu tunaishi kwa imani hizi?Dah sijashangaa bus la abood kuhusika hapo ni kafara ya majeruhi damu imepatikana
POleni sana.
Lakini bado najiuliza kila mara, kwa nini mabasi ya ABOOD yanatengeneza sana ajali???????
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Dah sijashangaa bus la abood kuhusika hapo ni kafara ya majeruhi damu imepatikana