Ajali hapa vigwaza, foleni balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali hapa vigwaza, foleni balaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MR. DRY, Dec 30, 2011.

 1. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nipo maeneo ya vigwaza kuna ajali ya lori la mizigo kuziba barabara kuanzia saa 22:00 hadi hivi sasa saa 4:40 gari hazitembei.
  Imesababisha foleni ndefu inayofikia chalinze.
  Wanajeshi wa kambi ya ruvu imebidi waongoze foleni.

  UPDATES(5:20)
  Hali bado ni tete gari kutoka dar na zinazoingia ni foleni kali, mnaojiandaa kusafiri mikoani jiandae kuchelewa kufika.
   
 2. s

  sugi JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  daa,mkuu kuna majeruhi au watu waliopoteza maisha?
   
 3. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kuna usalama mkuu hakuna majeruhi wala kifo.
   
 4. s

  sugi JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  thanx God
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Poleni sana. Leo ulikuwa nisafiri lakini kwa hali hiyo inanibidi nisitumie usafiri wa barabara.
  Asante sana kwa taarifa
   
 6. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hali sio nzuri mpaka sasa 6:43 nipo vikwaza cjasogea popote.
   
 7. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Saa 7:10 foleni ya kuingia dar kwa sasa inatembea vizuri ila kwa inayotoka hali ni tete.
  Ni bora wakapita njia ya bagamoyo.
   
Loading...