AJALI: Gari kubwa la mizigo aina ya scania laanguka na kuvamia makazi ya watu, hakuna aliyekufa wala majeruhi

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
3,161
2,000
Gari kubwa la mizigo aina ya scania lenye No.T724 CUW likiwa na mbao limeanguka asubuhi hii na kuvamia makazi baada ya kuacha njia.


Updates...

Gari kubwa la mizigo aina ya scania lenye Na.T724 CUW likiwa na mbao limeanguka leo asubuhi na kuvamia makazi baada ya kuacha njia na kuvamia upande wa pili wa barabara maeneo ya Mwananchi barabara ya Mandela jijini Dar. Hakuna aliyekufa wala majeruhi.

WhatsApp Image 2018-03-10 at 10.20.30.jpeg

WhatsApp Image 2018-03-10 at 10.20.45.jpeg

WhatsApp Image 2018-03-10 at 10.20.55.jpeg
 

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,126
2,000
Gari kubwa la mizigo aina ya scania lenye No.T724 CUW likiwa na mbao limeanguka asubuhi hii na kuvamia makazi baada ya kuacha njia.
Wapi dada? Achana na hao wameamka na Pombe kichwani.
Limeanguka wapi? kuna watu wamekufa?
 

Kashishi yetu

JF-Expert Member
Mar 22, 2014
2,394
2,000
Wapi?
Lini?
SAA ngapi?
Linatoka wapi kwenda wapi?
Majeruhi wangapi?
Wangapi Wamepoteza maisha?
Chanzo cha ajali?

Angalau ungedodosa baadhi ya hayo mambo pengine ungepunguza maswali mengi.
 

mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
4,040
2,000
hatuwezi jua Kwa nn ameandika hivyo yamkini sehemu yake ya biashara imeharibika tumvumilie kwanza atakuja rekebisha akili ikiwa normal
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom