AJALI: Gari aina ya Noah limepata ajali na kuua watu wilaya ya Rombo, Kilimanjaro

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
13245423_865723873573961_6583487329960737235_n.jpg
13310354_865724006907281_3911345425907467049_n.jpg

Gari aina ya Toyota Noah yenye namba T568 BNZ imepata ajali mbaya katika barabara ya Mwika - Himo eneo la Makerere ikitokea tarakea kuelekea moshi. Idadi kamili ya waliopoteza maisha haijapatikana mara moja

13325581_865723906907291_6478970342289359317_n.jpg
 
Gari aina ya Toyota Noah yenye namba T568 BNZ imepata ajali mbaya katika barabara ya Mwika - Himo eneo la Makerere ikitokea tarakea kuelekea moshi. Idadi kamili ya waliopoteza maisha haijapatikana mara moja.
 
Wapumzike kwa amani wapendwa wetu. Madereva tuendeshe vyombo vyetu kwa tahadhari KUBWA. AJALI ZIPO na ZINAUA.
 
R.I.P wote...polen sn wafiwa...safar yetu sote ni muda tu ndio utakaoongea
 
Poleni sana ndugu zangu warombo,ila tubadilike tuwe wakali sana mambo mengine yanadhuilika,Noah za Rombo to Moshi kama hujanywa wazuki hutashuka tuu
 
Back
Top Bottom