Ajali: Fuso na Hiace zagongana Nyangoye Haugembe-Bukoba

NGolo Kante

Member
Feb 28, 2017
80
131
Ajali mbaya imetokea usiku huu eneo la Nyangoye Hamugembe -Bukoba likihusisha gari aina ya Toyota Hiace na Gari kubwa aina ya Fuso

Kupitua uzi huu nitakujuza taarifa rasmi za majeruhi na vifo

======

Ajali mbaya imetokea usiku huu eneo la Nyangoye Mkoani Kagera ambapo inaripotiwa kuwa Watu wanne wamefariki na juhudi za uokoaji bado zinaendelea. Ajali imehusisha gari aina ya Toyota Hiace na Gari kubwa aina ya Fuso. Mkuu wa Wilaya ya Bukoba amethibitisha.
 
mpaka naondoka niliacha zima moto wanamuondoa dereva wa fuso, sijajua katika daladala wamefariki wangapi maana gari zote zimewaka moto baada ya kugongana.

kwa mashuhuda wanasema tingo wa fuso amesalimika
 
Inasadikiwa watu 7 wamefariki katika ajali ktk mteremko wa nyangoye iliyohusisha gari Fuso imefer breki na kugongana uso kwa uso na daladala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom