NGolo Kante
Member
- Feb 28, 2017
- 80
- 131
Ajali mbaya imetokea usiku huu eneo la Nyangoye Hamugembe -Bukoba likihusisha gari aina ya Toyota Hiace na Gari kubwa aina ya Fuso
Kupitua uzi huu nitakujuza taarifa rasmi za majeruhi na vifo
======
Ajali mbaya imetokea usiku huu eneo la Nyangoye Mkoani Kagera ambapo inaripotiwa kuwa Watu wanne wamefariki na juhudi za uokoaji bado zinaendelea. Ajali imehusisha gari aina ya Toyota Hiace na Gari kubwa aina ya Fuso. Mkuu wa Wilaya ya Bukoba amethibitisha.