Ajali daraja la Wami: Basi la Simba mtoto na lori yagongana uso kwa uso

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
Nimepigiwa simu na jamaa angu anafanya kazi Wami kadai kuna ajali imetokea, watu ni wengi sana na mtandao umezidiwa,kashindwa kunibrief vizuri, Bus la Simba mtoto na Lori zimegongana uso kwa uso, dereva wa lori amefariki na majeruhi kadhaa

==== Updates =====

WamiJF.jpg
Basi la Simba mtoto na Lori zimegongana uso kwa uso, dereva wa lori ndio amefariki na majeruhi kadhaa.Njia ilijifunga.

2rohtuq.jpg

jf1.jpg jf2.jpg

jf3.jpg
 
Attachments

  • wami2.jpg
    wami2.jpg
    17.8 KB · Views: 2,602
MUNGU atuepushe...pumzikeni kwa amani. WAMI uisikie tu, Kitonga sijui Mlima Nyoka, Mlima Simba sijui wapi kote cha mtoto
 
MUNGU atuepushe...pumzikeni kwa amani. WAMI uisikie tu, Kitonga sijui Mlima Nyoka, Mlima Simba sijui wapi kote cha mtoto
Au Senkenke, milima ukumburu,daraja la MTO Simiyu Magu,etc
 
Ok ni Bus la Simba mtoto na Lori zimegongana uso kwa uso...dereva wa lori ndio amefariki na majeruhi kadhaa...njia ilijifunga
 
Ok ni Bus la Simba mtoto na Lori zimegongana uso kwa uso...dereva wa lori ndio amefariki na majeruhi kadhaa...njia ilijifunga
Njia ilijifunga - ilipojifunga ndio ajali ikatokea? Au unamaanisha barabara imefungwa ! Thanks kwa taarifa, pole kwa wafiwa,
 
Ok ni Bus la Simba mtoto na Lori zimegongana uso kwa uso...dereva wa lori ndio amefariki na majeruhi kadhaa...njia ilijifunga
Hao Simba nao kila mwaka ni hapo hapo darajani? Mwaka jana walipata ajali hapo hapo Darajani ambapo Canter ya Mizigo iligongana na Bus la Simba hapo darajani na kuitumbukiza Canter hio kwenye maji na alipona mtu mmoja tu. leo tena hayo hayo?
 
Nimepigiwa simu na jamaa angu anafanya kazi wami kadai kuna ajali imetokea, watu ni wengi sana na mtandao umezidiwa,kashindwa kunibrief vizuri, mwenye taarifa kamili aiweke hapa, nitawajuza nikipata more info manake najaribu kumpigia pia simu yake haiiti.

==== Updates =====

Basi la Simba mtoto na Lori zimegongana uso kwa uso, dereva wa lori ndio amefariki na majeruhi kadhaa.Njia ilijifunga.

1414747518861.jpg
 
Hao Simba nao kila mwaka ni hapo hapo darajani? Mwaka jana walipata ajali hapo hapo Darajani ambapo Canter ya Mizigo iligongana na Bus la Simba hapo darajani na kuitumbukiza Canter hio kwenye maji na alipona mtu mmoja tu. leo tena hayo hayo?

Pole, kwa hiyo unataka kumaanisha nini mkuu?
 
Tutaiunganisha nchi nzima na barabara za lami kabla ya mwaka 2015,lakini msipokua na nidhamu barabara hizi za lami zitawamaliza na kuwaachia wengine vilema vya maisha-waziri wa ujenzi mh magufuli.
Rip suka.
 
MUNGU atuepushe...pumzikeni kwa amani. WAMI uisikie tu, Kitonga sijui Mlima Nyoka, Mlima Simba sijui wapi kote cha mtoto

USHAISIKIA CHIWETA YA MALAWI? AU K9 YA NGARA? NYAISHOZI JE?,''YA KARAGWE'' AU LUKUMBURU NJIA YA SONGEA?
:sleepy::sleepy::sleepy::sleepy:
 
hao simba nao kila mwaka ni hapo hapo darajani? Mwaka jana walipata ajali hapo hapo darajani ambapo canter ya mizigo iligongana na bus la simba hapo darajani na kuitumbukiza canter hio kwenye maji na alipona mtu mmoja tu. Leo tena hayo hayo?

yakhee kuna kitu kinachoitwa maagano ushakisikia weye?
 
Back
Top Bottom