Ajali: Basi la Leina tours lapata ajali maeneo ya Kimara Bucha

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,667
926
Wakuu,

Nasikia kuna basi limepata ajali.

Mwenye taarifa atujuze.

=========
Braking News Radio One saa nne na dk 20 usiku.Bus linaitwa Leina tours likitokea Kahama limeacha barabara na kuingia mferejini hapo Kimara Bucha.

Kuhusu majeruhi na vifo bado habari kamili hazijapatikana.
 
Brraking News Radio One saa nne na dk 20 usiku....Bus linaitwa Leina tours likitokea kahama limeacha barabara na kuingia mferejini hapo Kimara Bucha.kuhusu majeruhi na vifo bado habari kamili hazijapatikana.
 
Nimesikia....taarifa hiyo najaribu kupiga picha mifereji ilivyomikubwa hasa hi njia ya kimara.....eheee.....Mungu eheeee.....
 
Dah! pole yao wahanga...Ila hii tabia ya madereva kuwahachia Matingo usukani wanapoingia mjini na kwenda kuchepuka na ikome mara moja! nasema ikome kabisa....
 
Back
Top Bottom