Ajali: Basi la Kampuni ya Ibra Line lawaka moto maeneo ya Nangurukulu

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Basi la kampuni ya Ibra Line linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam kwenda Masasi mkoa wa Mtwara, limewaka moto na kuteketea mchana huu wa leo Oktoba 19, 2018 maeneo ya Nangurukulu wilaya ya Kilwa mkoani Lindi.

Kwa taarifa za awali kutoka eneo la ajali hiyo ya moto, bado chanzo chake hakijafahamika mara moja huku kukiwa hakuna madhara kwa abiria waliokuwa wakisafiri na basi hilo.View attachment 903255View attachment 903256
IMG_20181019_135450_986.jpeg
 
Unaona namna moto ulivyoanzia kwenye Engine. Ni dhahir mfumo wa umeme.
IMG_20181019_135350_319.jpeg
IMG_20181019_135417_627.jpeg
 
Yutong kwa kushika moto imekuwa kawaida sasa, yachunguzwe huenda wananunua low quality
 
Haya mabasi kila kukicha yanaungua yamekua kama dar express.Mabasi ya mchina hovyo kabisa haswa Yutong
 
Yutong kwa kushika moto imekuwa kawaida sasa, yachunguzwe huenda wananunua low quality
Mifumo mingi inatumia umeme kwenye magari ya kisasa, na mafundi wengi akina sisi tushazoea kuunga unga waya na tunatumia testa tu. Hapo unategemea nini ?
 
Back
Top Bottom