AJALI: Basi la Coastline kutoka Mwanza-Moshi limepata ajali eneo la King'ori

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
BREAKING NEWS.

Basi la kampuni ya Coastline lililokuwa linatoka Mwanza kuja Moshi via Arusha limepata ajali mbaya maeneo ya King'ori- Kiwandani mida hii ya saa mbili usiku. Idadi ya majeruhi ni kubwa na vifo wachache.

Kama una ndugu aliyekuwa route hiyo leo jaribu kuwasiliana naye.
Vilevile kuna abiria waliokuwa wamefaulishwa kutoka kwenye mabasi mengine.

TAFADHALI TOA TAARIFA KWA WENGINE.
MUNGU TUEPUSHE NA HIZI AJALI.
 
Pole sana kwa wafiwa na majeruhi, Tunaomba Mola awajalie afya njema warudi kazini tuijenge nchi yetu.
 
Ehh jamani, kaskazini tena? Mungu wangu huu upepo na upite tutaogopa kusafiri sasa
 
Back
Top Bottom