AJABU - Mtoto azaliwa na uume mgongoni !

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Wakuu,

wansi ageni katika pita pita zangu nimekutana na hii kali kweli jamani...mtoto
kazaliwa na mpini mgongoni!!!!...Jamani masikitiko.Ukitaka picha ifukuzie kwenye link ...

http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/article1273232.ece

THIS is the picture that will shock parents around the world - a baby born with a second penis on his BACK.

The tot was born to farmer dad Li Jun, 30, and his unnamed wife, who live in Hejian city in central China's Henan province.

Surgery

But he was rushed to Tianjin Childrens' Hospital on May 27 for surgery to remove his extra manhood.

The rare condition, the first for Tianjin Childrens' Hospital, is called fetus in fetu (FIF).

Doctors, who spent over three hours removing the extra penis on June 6, said he was fine following surgery.
 
loh wajimini tutubuuuuu nyie mwisho wa dunia waja sooon!!!!!!!loooh!
 
loh wajimini tutubuuuuu nyie mwisho wa dunia waja sooon!!!!!!!loooh!

...Nyani Ngabu kakwambia kesho Friday the 13th ukambishia!...

Zamani pia yalikuwepo mambo haya, ila enzi hizo watoto wa namna hii na wengineo wanaozaliwa na viungo vya ziada 'inasimuliwa' ama waliuliwa au walifichwa.

...katika mfuko wa uzazi, huenda mimba ilitunga 'viumbe' wawili, ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake, embryo moja ikawa infused kwenye embryo ya pili na kusababisha baadhi tu ya viungo kusalia kwenye embryo ya pili ambayo matokeo yake ni mtoto huyo.

lakini mnh, ...basi katika vyoooote ndiyo iwe dhakar,?!
 
loh wajimini tutubuuuuu nyie mwisho wa dunia waja sooon!!!!!!!loooh!

Mie pia niliona kama kiinimacho vile.
Mwenyezi Mungu tuepushe na seketa za kutisha kama hizi jamani!!!
Kisha kuna yule mtoto wa kihindi aliyezaliwa na sura mbili..ulimuona huyo naye?
 
...Nyani Ngabu kakwambia kesho Friday the 13th ukambishia!...

Zamani pia yalikuwepo mambo haya, ila enzi hizo watoto wa namna hii na wengineo wanaozaliwa na viungo vya ziada 'inasimuliwa' ama waliuliwa au walifichwa.

...katika mfuko wa uzazi, huenda mimba ilitunga 'viumbe' wawili, ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake, embryo moja ikawa infused kwenye embryo ya pili na kusababisha baadhi tu ya viungo kusalia kwenye embryo ya pili ambayo matokeo yake ni mtoto huyo.

lakini mnh, ...basi katika vyoooote ndiyo iwe dhakar,?!

Ndo hapo sasa....mie pia nilijiuliza...viungo vyote mwilini jamani...
nd'o mpini utiwe mgongoni?...kudadeki waswahili!!!!
 
Hakika ni maajabu hii ni mipango ya Mungu.

Baby_with-Penis.jpg
 
real Astonishing.

Yes it is ndugu yangu....a'fu pia hawa wachina inabidi wafanye maswala ya
tambiko maana huko kwao ni too much.Kuna huyu mjunior naye alizaliwa
na mikono mitatu...damnnnn!!!!!!!

mn_boy_bej803.jpg
 
haya jamani mtaja nikumbukaaa...... tubuni hamtaki!!!haya mwenzenu mie now ni mwendo wa kuwa karibu na Mungu tuu!!
 
Tumkumbuke Mungu siku zote. Siku za mwisho ni kama mvua itakavyokuwa inanyesha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom