AJABU - Mtoto azaliwa na uume mgongoni ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

AJABU - Mtoto azaliwa na uume mgongoni !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ab-Titchaz, Jun 12, 2008.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Jun 12, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Wakuu,

  wansi ageni katika pita pita zangu nimekutana na hii kali kweli jamani...mtoto
  kazaliwa na mpini mgongoni!!!!...Jamani masikitiko.Ukitaka picha ifukuzie kwenye link ...


  http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/article1273232.ece


  THIS is the picture that will shock parents around the world - a baby born with a second penis on his BACK.

  The tot was born to farmer dad Li Jun, 30, and his unnamed wife, who live in Hejian city in central China's Henan province.


  Surgery

  But he was rushed to Tianjin Childrens' Hospital on May 27 for surgery to remove his extra manhood.

  The rare condition, the first for Tianjin Childrens' Hospital, is called fetus in fetu (FIF).

  Doctors, who spent over three hours removing the extra penis on June 6, said he was fine following surgery.
   
 2. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  loh wajimini tutubuuuuu nyie mwisho wa dunia waja sooon!!!!!!!loooh!
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Nyani Ngabu kakwambia kesho Friday the 13th ukambishia!...

  Zamani pia yalikuwepo mambo haya, ila enzi hizo watoto wa namna hii na wengineo wanaozaliwa na viungo vya ziada 'inasimuliwa' ama waliuliwa au walifichwa.

  ...katika mfuko wa uzazi, huenda mimba ilitunga 'viumbe' wawili, ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake, embryo moja ikawa infused kwenye embryo ya pili na kusababisha baadhi tu ya viungo kusalia kwenye embryo ya pili ambayo matokeo yake ni mtoto huyo.

  lakini mnh, ...basi katika vyoooote ndiyo iwe dhakar,?!
   
 4. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #4
  Jun 13, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mie pia niliona kama kiinimacho vile.
  Mwenyezi Mungu tuepushe na seketa za kutisha kama hizi jamani!!!
  Kisha kuna yule mtoto wa kihindi aliyezaliwa na sura mbili..ulimuona huyo naye?
   
 5. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #5
  Jun 13, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Ndo hapo sasa....mie pia nilijiuliza...viungo vyote mwilini jamani...
  nd'o mpini utiwe mgongoni?...kudadeki waswahili!!!!
   
 6. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hakika ni maajabu hii ni mipango ya Mungu.


  Baby_with-Penis.jpg
   
 7. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  real Astonishing.
   
 8. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #8
  Jun 13, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Bubu kweli weye mtaalamu...nilijaribu kuilift hii picha lakini ikakataa!
  Shukran mkuu .

  Meanwhile hio kitu inatisha aisee acha utani!!!!!!!!
   
 9. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #9
  Jun 13, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Yes it is ndugu yangu....a'fu pia hawa wachina inabidi wafanye maswala ya
  tambiko maana huko kwao ni too much.Kuna huyu mjunior naye alizaliwa
  na mikono mitatu...damnnnn!!!!!!!

  [​IMG]
   
 10. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Huu ni mtihani tena mkubwa ... mungu tunusuru na vizazi vyetu
   
 11. M

  Masatu JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  si wangeiacha tu awe ana saga na kukoboa!
   
 12. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #12
  Jun 13, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  LOL!!!....hio staili nd'o ingeitwaje basi????....kimgongomgongo sio?
   
 13. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #13
  Jun 13, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
 14. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  haya jamani mtaja nikumbukaaa...... tubuni hamtaki!!!haya mwenzenu mie now ni mwendo wa kuwa karibu na Mungu tuu!!
   
 15. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tumkumbuke Mungu siku zote. Siku za mwisho ni kama mvua itakavyokuwa inanyesha.
   
 16. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mi nilidhani mnamuongelea yule mtoto aliyezaliwa olturumet arusha?
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Sio mipango ya mungu, ni mutational problems. Mungu aliumba dunia ikawa perfect,sie tumeiharibu na makemikali na lifestyles
   
Loading...