jk amepata kura nyingi kuliko dr. Slaa kwenye jimbo la mh. Mbowe?
Ndiyo maana tunatakiwa kupata vielelezo vya kutosha, tunaamini si wote waliopewa jukumu la kuchakachua wanampenda JK wapo watakaofanya deliberately kupotosha ili aingie mtegoni mfano kushinda JK jimbo la hai ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano.Hapo ndiyo tutapata pa kuanzia
hapo hakuna cha uchakachuaji DR SLAA akubali kushindwa
Division of labourjiulize kwanini walikimbizia kutangzia nec ......
mbaazi ukikosa maua husingizia juakura zinazotangazwa ni kati ya msimamizi na tume na sio za vituoni. Kwa hilo linawezekana!!
kura zinazotangazwa ni kati ya Msimamizi na Tume na sio za vituoni. Kwa hilo linawezekana!!