Jukwaa linahusu Kenya lakini waanzisha thread karibia wote ni wa TZ

Kwaio jukwaa la uchumi wanaandika wachumi tu? Michezo? Siasa? Lugha? Hilo ni jukwaa linalohusu mambo ya Kenya na sio wakenya. Puuzi moja wewe!!!
Uwe unasoma kwa utulivu na kuelewa mada kijana. Acha kuvamia mada kwa mihemko. Hakuna ugomvi hapa. Na hakuna aliyekulazimisha ununue bando kwa ajili ya kusurf mitandao. Unajipa stress bure tu kwa kutukana. Maisha yenyewe mafupi. Hivyo ukiona unakerwa na mada za wenzio pita mbali.
 
Bro umeona mbali sana. kisha wengi wa Wabongo wanaomiminika humu jamvini, hawajielewi. hivi unajua kua mti wenye matunda ndio hupurwa mawe sana?

Wabongo wengi sana humu ni vilaza na pia kuna wale wako na mapenzi na Kenya. Wanatamani kuwa kama Kenya au Wakenya lakini bahati yao mbaya sana.

Kenya iko mbali sana kimaendeleo,,, levo tofauti kabisa, kama Europe vile... nawapa pole sana. Kenya na Tanzania ni kama mbingu na jehanam.

wengine wanakuja kujifunza lugha ya malkia kisha wakitinga mitaani, wanajisifia kwa wenzao eti, "unajua leo nimechat na Wakenya?".
yaani Wabongo mie huniacha hoi kusema lile la ukweli. mapimbi kabisa
 
Uwe unasoma kwa utulivu na kuelewa mada kijana. Acha kuvamia mada kwa mihemko. Hakuna ugomvi hapa. Na hakuna aliyekulazimisha ununue bando kwa ajili ya kusurf mitandao. Unajipa stress bure tu kwa kutukana. Maisha yenyewe mafupi. Hivyo ukiona unakerwa na mada za wenzio pita mbali.
Wewe nimpuuzi coz unataka kututafakarisha upuuzi.
 
Kwani wewe ulitakaje? Mimi sioni kama kuna tatizo as long as mada zinahusu Kenya, kumbuka Tanzania na Kenya tuna mambo mengi sana tunafanana, ni kwa vile wakoloni walitugawa kwa kuweka mipaka tu...
 
bro,, umeona mbali sana. kisha wengi wa Wabongo wanaomiminika humu jamvini, hawajielewi. hivi unajua kua mti wenye matunda ndio hupurwa mawe sana??? Wabongo wengi sana humu ni vilaza na pia kuna wale wako na mapenzi na Kenya. Wanatamani kuwa kama Kenya au Wakenya lakini bahati yao mbaya sana. Kenya iko mbali sana kimaendeleo,,, levo tofauti kabisa, kama Europe vile... nawapa pole sana. Kenya na Tanzania ni kama mbingu na jehanam.
wengine wanakuja kujifunza lugha ya malkia kisha wakitinga mitaani, wanajisifia kwa wenzao eti, "unajua leo nimechat na Wakenya?".
yaani Wabongo mie huniacha hoi kusema lile la ukweli. mapimbi kabisa
Uchumi was Kenya upo kwa selikal wananchi wake ni masikini sana
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom