Ajabu hii UCHUMI SUPERMARKET wametoroka na madeni na bado wanasifiwa

brazuka

Senior Member
May 30, 2014
159
244
Kwa wasiofahamu na wanaofahamu, iliyokuwa uchumi supermarket ilifunga maduka yake yote mwaka jana na kisha kupotea na pesa za wasambazaji wa bidhaa (suppliers).
Hadi leo hii zaid ya mwaka makampuni makubwa na wajasiria mali wadogo hawajalipwa!!! HAKUNA DALILI YOYOTE.
Lakini bado tunawasifu wakenya eti ni good investors kweli????!!! This is a shame
 
Kwa nini hamjashikilia mali zao kabla hawajatoroka? Ni mbaya sana kama wametoroka na mali za watu.

Wakenya ni matapeli sana sijawahi kuwaamini, ukideal nao biashara yoyote ile hakikisha wanakupatia hela mbele kwanza. Ukiwaachia tu nafasi kwamba walipe baadae, hapo umeshaliwa. Nawaasa tu watz wenzangu ambao wanadeal na hawa watu wawe makini sana. Asilimia kubwa sana siyo waaminifu kabisa katika swala la biashara.
 
Back
Top Bottom