Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe Mhe. Anna Makinda ametunukiwa tuzo ya APNAC kwa juhudi zake za kupambana na rushwa. nilisoma makala yote nitafute hizo juhudi au record ya Mhe. ya kupambana na rushwa sikuiona sasa labda nisaidiwe na Great thinkers kuhusu record ya Mhe. kupambana na rushwa maana niliyokuwa nayo mimi ni ile ya mrema na kafulila ambao waliwahi kumpelekea mafaili ya ushahidi wa wabunge wala rushwa na ameyakalia hadi leo hivi kwahiyo wana ccm na yeyote mwenye record ya kupambana na rushwa tafadhali tusaidiane.