I don't think sababu siku mpenzi atagundua hali yake ya ukweli atakua disapointed. anatakiwa awe herself na pia amtreat mwanaume kama angependa wamtrest yeye kwenye mahusiano kama hayo. na kama mwanaume hafurahii maana yake sio match.Awe vile mpenz wake anapenda.
Awe vile mpenz wake anapenda.
I don't think sababu siku mpenzi atagundua hali yake ya ukweli atakua disapointed. anatakiwa awe herself na pia amtreat mwanaume kama angependa wamtrest yeye kwenye mahusiano kama hayo. na kama mwanaume hafurahii maana yake sio match.
sasa mkwe si watu wataanza kukuita uporoto? inabidi muwe tofauti banaa!
Anatakiwa afuate mume wake anavyotaka, lakini mume nae asivuke mipaka kumgeuza mke wake mtumwa!
Hiyo bluu maana yake nini? Mi naamini ukimridhisha mwenzio tu ila wewe hujuridhishi hamta fika mbali lakini...ceteris peribus ili mtu uishi vizuri na mtu inabidi uishi nae vile anapenda yeye. Mtoa mada anataka kuishi vizuri na mtu wake.
Hiyo bluu maana yake nini? Mi naamini ukimridhisha mwenzio tu ila wewe hujuridhishi hamta fika mbali lakini...
mwanamke anatakiwa aweje(tabia)ili aweze kuishi vizuri na mwanaume anayetarajia kuwa nae kwenye mahusiano?
hongera sana