Aishije?

eyetyna

Senior Member
Jun 24, 2011
148
17
mwanamke anatakiwa aweje(tabia)ili aweze kuishi vizuri na mwanaume anayetarajia kuwa nae kwenye mahusiano?
 
Awe vile mpenz wake anapenda.
I don't think sababu siku mpenzi atagundua hali yake ya ukweli atakua disapointed. anatakiwa awe herself na pia amtreat mwanaume kama angependa wamtrest yeye kwenye mahusiano kama hayo. na kama mwanaume hafurahii maana yake sio match.
 
Anatakiwa afuate mume wake anavyotaka, lakini mume nae asivuke mipaka kumgeuza mke wake mtumwa!
 
I don't think sababu siku mpenzi atagundua hali yake ya ukweli atakua disapointed. anatakiwa awe herself na pia amtreat mwanaume kama angependa wamtrest yeye kwenye mahusiano kama hayo. na kama mwanaume hafurahii maana yake sio match.

ceteris peribus ili mtu uishi vizuri na mtu inabidi uishi nae vile anapenda yeye. Mtoa mada anataka kuishi vizuri na mtu wake.
 
Hiyo bluu maana yake nini? Mi naamini ukimridhisha mwenzio tu ila wewe hujuridhishi hamta fika mbali lakini...
 
'maana yake other factors remain constant'. Ni ukweli ukijitahidi umridhishe mtu huku wewe unaumia hamuwezi kufika mbali.
 
306919_258923080814949_100000917762642_805858_512779864_n.jpg

jamani mkwe hujui watu wakiishi muda mrefu waananza kufanana!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom