jadili ya kwenu Azam ambapo kumbe hali ya uchumi ndio imesababisha john stewart hall kuondoka, maana mmepunguza mishahara ya wachezaji na pia wengine mumewatoa kupunguza gharama, hayo ndiyo maneno ya stewart hall akihojiwa na clouds siku ya kuvunja mkataba, akadai klabu itasajili wachezaji kupitia timu B tu, sasa nyie mbali ya odhiambo 'blackberry' mumemsajili nani?
mambo ya Simba achana nayo hayakuhusu
Nakwambia huu uhuni hautapita bure.kwanzani mimi nawaza uhuni tulio fanyiwa na familia ya kikwete kwa beki tuliyo kuwa tumemsajili lakini yote yana mwisho..na pesa zao za EPA.
mi kama shabiki hii ya rambirambi ni soo na bado ya mbuyi facebook sijui twitter
sisi ndio simba, subiri ligi ianze, hawa jamaa wanatumia pesa kutuharibu kisaikolojia lakini naamini hawataweza, ya mafisango viongozi wanajua kwanini hawajapeleka hadi sasa
Nanyie msimu uliopita mpaka mnaangukia nafasi ya tatu, mlikuwa na laana ya nani???? au mlikula rambirambi ya nani???? naona sasa mnakosa cha kusema mnadandia hoja zisizo na maana, kuwa makini na usajiri wenu wa wizi vinginevyo deni la bao 5 bila majibu bado lina waandama.(5-0)Ndo tabu ya watu wa Simba,hata siku 1 hawataki ku'accept matatizo ya viongozi wao na Jamaa(Viongozi) they take advantage ya u'zuzu huu.
Kweli kwa hali hii mtaachwa kutafunwa na laana?
Bora ya Azam wametumia njia mbadala ya kupunguza mishahara na sio kula pesa ya rambi rambi.jadili ya kwenu Azam ambapo kumbe hali ya uchumi ndio imesababisha john stewart hall kuondoka, maana mmepunguza mishahara ya wachezaji na pia wengine mumewatoa kupunguza gharama, hayo ndiyo maneno ya stewart hall akihojiwa na clouds siku ya kuvunja mkataba, akadai klabu itasajili wachezaji kupitia timu B tu, sasa nyie mbali ya odhiambo 'blackberry' mumemsajili nani?
mambo ya Simba achana nayo hayakuhusu
Okay mkuu na sisi mwaka huu tutatenga bajeti ya kununua penalt japo 3 ndani ya dakika 90.Nanyie msimu uliopita mpaka mnaangukia nafasi ya tatu, mlikuwa na laana ya nani???? au mlikula rambirambi ya nani???? naona sasa mnakosa cha kusema mnadandia hoja zisizo na maana, kuwa makini na usajiri wenu wa wizi vinginevyo deni la bao 5 bila majibu bado lina waandama.(5-0)
kwanzani mimi nawaza uhuni tulio fanyiwa na familia ya kikwete kwa beki tuliyo kuwa tumemsajili lakini yote yana mwisho..na pesa zao za EPA.
Masuke said:Nakwambia huu uhuni hautapita bure.