Aisee!!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,900
95,400
 

Attachments

  • 1481184470088.jpg
    1481184470088.jpg
    23.1 KB · Views: 40
Mkuu Behaviourist ndo hali ya kila mitaa kwa leo
Kwa sasa hata sehem za watembea kwa miguu hakuna
Unapishana na gari na mkokoteni
Hata wale ambao hawakuwa wafanyabiashara jndogo ndogo leo wamefungua biashara ni kiasi cha kununua fungu nne za maembe unatandika gunia chini unauza
 
K/koo kulikuwa kumeshakuwa kuzuri lkn tokea jana hata pa kukanyaga hamna
 
Ukiwa kiongozi unaweza ukageuka kichaa kwa kelele za raia wako usipoweza kujisimamia mwenyewe.

Ukifanya hivi wao watasema bora hivi ili mradi kila mtu anajua.

Ila hii issue ya machinga mkuu ameiamua kisiasa zaidi kwa sababu ameongea kabisa kuwa wale ni wapiga kura wake.

Ila jamaa hawana ustaarabu kabisa katika ufanyaji na upangaji wa bidhaa zao huko masokoni. Serikali bora iwapatie maeneo rasmi kwa ajili ya biashara zao ila hayo maeneo yasiwe mbali sana na vituo vya daladala.
 
Kile kitabu cha mfalme Haju hakikuwekwa kwenye mitaala ya elimu kimakosa.

Tunatakiwa kuwa proactive kwenye maamuzi ya kila siku na sio kuwa reactive.
 
Back
Top Bottom