Aisee!! Watanzania tumepeleka nini miss Universe?hii ni aibu kwa Taifa jamani,ebu angalieni......

nderingosha

JF-Expert Member
Mar 20, 2011
4,281
3,243
Ikiwa imebaki siku moja tu kufanyika kwa shindano la miss universe kule Brazil(jtatu) imenibidi nikate tamaa kwa mwakilishi wetu kule (yaani Nelly Kamwelu).Nikiwa mmoja wa mdau na mkereketwa wa sifa nzuri kwa taifa letu ambaye nimekuwa nikifatilia maandalizi haya kule Brazil kwa kweli imenisikitisha baada ya kumfatilia mwakilishi wetu kule miss.Nelly Kamwelu.Nimekuwa nikimfatilia yeye na wawakilishi wetu wa africa haswa majirani zetu Angola na Botswana ambao kwa kweli wamepeleka vitu vya uhakika wajameni. Kwanza sijui ilikuwaje watanzania tukampeleka mrusi kutuwakilisha, hivi kweli tumekosa mweusi mwenzetu jamani??nawaambia safari hii tena tz imefanya kama walivopeleka muhindi Richa kipindi kile,tena safari hii ni mbaya zaidi kwani huyu mdada Nelly anaonekana kuiwakilisha urusi na wala si tz, hii ni fedheha kubwa jamani.Kilicho nifanya niumie sana ni kuona kuwa katika kuwakilsha vazi la taifa, wengine wote wamewakilisha mavazi yao kama waafrica wengine wamevaa nguo zao za taifa lakini cha ajabu huyu Nelly kapiga picha ya ajabu nawawekea hapa, hili vazi wanavaaga urusi na wala halina hadhi ya ki nchi ni aibu kubwa...yaani hata nguo za kanga wameshindwa kumpa huyu akavaa angalau kuonyesha anatoka Africa (Tanzani)?hata Richa kipindi kile alivaa nguo za vitenge, huyu mrusi safari hii ametuua kabisa wajameni.Pia hana mvuto hata chembe ukilingalisha na wadada toka majirani zetu hapa Angola na Botswana ni vitu adimu vya nguvu, safari hii kweli sitashangaa kusikia miss Angola au Botswana kashinda kwani ni watoto adimu na wakali kiyama.Kwa kuwaonyesha tu picha ebu angalieni hizi picha za huyu mrusi wetu Nelly alafu tumlingalishe na wenzake Leila (miss Angola) na Larona (miss Botswana) alafu muone aibu tuliyopeleka kule. fatilieni link hii kujua zaidi kinachojili kule miss universe brazil :Miss Universe : Vote for India, Vasuki Sunkavalli!!!
 

Attachments

  • Miss universe Tanzania Nelly akiwa eti kwenye vazi la Taifa.pdf
    510.5 KB · Views: 236
ikiwa imebaki siku moja tu kufanyika kwa shindano la miss universe kule brazil(jtatu) imenibidi nikate tamaa kwa mwakilishi wetu kule (yaani nelly kamwelu).nikiwa mmoja wa mdau na mkereketwa wa sifa nzuri kwa taifa letu ambaye nimekuwa nikifatilia maandalizi haya kule brazil kwa kweli imenisikitisha baada ya kumfatilia mwakilishi wetu kule miss.nelly kamwelu.nimekuwa nikimfatilia yeye na wawakilishi wetu wa africa haswa majirani zetu angola na botswana ambao kwa kweli wamepeleka vitu vya uhakika wajameni. Kwanza sijui ilikuwaje watanzania tukampeleka mrusi kutuwakilisha, hivi kweli tumekosa mweusi mwenzetu jamani??nawaambia safari hii tena tz imefanya kama walivopeleka muhindi richa kipindi kile,tena safari hii ni mbaya zaidi kwani huyu mdada nelly anaonekana kuiwakilisha urusi na wala si tz, hii ni fedheha kubwa jamani.kilicho nifanya niumie sana ni kuona kuwa katika kuwakilsha vazi la taifa, wengine wote wamewakilisha mavazi yao kama waafrica wengine wamevaa nguo zao za taifa lakini cha ajabu huyu nelly kapiga picha ya ajabu nawawekea hapa, hili vazi wanavaaga urusi na wala halina hadhi ya ki nchi ni aibu kubwa...yaani hata nguo za kanga wameshindwa kumpa huyu akavaa angalau kuonyesha anatoka africa (tanzani)?hata richa kipindi kile alivaa nguo za vitenge, huyu mrusi safari hii ametuua kabisa wajameni.pia hana mvuto hata chembe ukilingalisha na wadada toka majirani zetu hapa angola na botswana ni vitu adimu vya nguvu, safari hii kweli sitashangaa kusikia miss angola au botswana kashinda kwani ni watoto adimu na wakali kiyama.kwa kuwaonyesha tu picha ebu angalieni hizi picha za huyu mrusi wetu nelly alafu tumlingalishe na wenzake leila (miss angola) na larona (miss botswana) alafu muone aibu tuliyopeleka kule. Fatilieni link hii kujua zaidi kinachojili kule miss universe brazil :miss universe : Vote for india, vasuki sunkavalli!!!

tangu uzaliwe ushasikia vazi la tanzania??emmbu eleza ukweli njia ulizotutmia kumtokea kama amechomoa tukupe doubledoble hiyo achomoki mwachen bana kapendeza binti cha watu ulitaka kavae yale manyasi wacheza ngoma wa kwenu aite la kitaifa??aku kamependeza na wewe kufwatilia mamiss nshakwambia utaumbuka sikumoja kuna mamodel wazuri zaidi ya mamiss watakumalizia mshiko ukose hata kujenge chumba cha mbwa
 
Teh shindano lenyewe kituko. kwa nn msipeleke kituko! teh teh kuna vi vya maana sio huo upuuz wa miss unive
 
Jamani mbona ana jina la kibantu? Is it that mamake ndo mrusi? Kama ni hvyo basi huyu ni wetu. Alafu mbona kapendeza? Nimeona picha zake kwa anko michuzi, amewakilisha zana za vita za jadi(mkuki na ngao) kwani si asili ya mtanzania. Me naona huyu ataiwakilisha vyema Tanzania! Tumsapoti tu.
 
UNI2011_2720.jpg
UNI2011_2721.jpg
 
Bora wangempeleka BI.KIDUDE!
Jamani mbona ana jina la kibantu? Is it that mamake ndo mrusi? Kama ni hvyo basi huyu ni wetu. Alafu mbona kapendeza? Nimeona picha zake kwa anko michuzi, amewakilisha zana za vita za jadi(mkuki na ngao) kwani si asili ya mtanzania. Me naona huyu ataiwakilisha vyema Tanzania! Tumsapoti tu.
 
Kwani tz ni kipi tushawahi kushiri tukashinda zaid ya bigbrother ambayo serikali haitambui ingekua ni jambo geni ningeshangaa ila sio geni kabisa
 
Back
Top Bottom