Aisee Siamini kama Swahiba Wangu ndo Ameamua Kuoa Mchumba kutoka Badoo.

Sema wewe nchi za wenzetu kukutana mtandaoni is mot a big deal kabisa, bongo sasa mwanamke akiwa kwenye hizo mitandao ni malaya ila mwanaume ni sawa aah
Nilijua hii mada lazima itetewe na ke maana maana kizazi hiki masingle mothers mixa manungaiyembe mtetezi wao imekua mitandao wanaume wanaingia huko kuchakata na kusepa
 
Based on what research..? Maana uliyo andika hapo no sawa na kuandika ndio au hapana at the same time.
Soma tema. Hiyo 0.00001 ndio inafanya wasiwe wote. Kati ya 10,000 basi 1 ndio sio malaya wengine 9,999 ni malaya. Sasa hapo hujaelewa nini mkuu au turudi darasa la pili kukukaririsha "na ile moja kichwani ?!"
 
Ebanaa ee wanajukwaa naandika hii stori ya ukweli uku nikiwa sina majibu na siamini kama swahiba wangu wiki ijayo anaoa.

Jamaa alikuwa sana muumini wa mitandao yetu hii ya badoo, tinder na mingine, sasa katika pita pita zake akakutana na mwanamke badoo ni wa kawaida tu kimuomekano wakawa wameanza mahusiano kama mwaka sasa umepita.

Sasa juzi jamaa kaja na mualiko wangu anataka kumuoa yani amuweke ndani kabisa nikamwambia unakumbuka lakin wanawake waliopo kule wengi ni malaya sana, jamaa akanipa stori kwa kifupi sana,

Kwamba baada ya kukutana na mchumba na kuanza kuwasiliana mchumba akakili kwamba aliingia badoo ili tu ajue ni kitu gani huwa kinafanyika kule lakini pia aliingia kwa sababu ya kutangaza bidhaa zake ambazo alikuwa anauza lakini wakakubaliana kwamba wafute app wakaendelea na mahusiano,

Nimepokea mwaliko kwa heshima zote na kesho naenda chukua suti matata sana kwa ajili ya kwenda kula harusi ila moyo bado una wasiwasi kama kweli jamaa anaenda kuoa moja wa wtt tunao wachakata kila kukicha.

N.b Ya ngoshwe tumuachie ye mwenyewe, Na wengine mnipe experience yenu aisee.
Tunaomba utuletee habari, pindi yatakapo washinda.
 
mi mwenyewe huwa natamani kujiunga huko badoo nijue huwa ni nini kinaendelea huko....kuna siku ntajiunga
 
Mungu humpatia mtu wa kufanana nae.
Wamekutana mtandaoni basi wataelewana vizuri tu
 
Mrejesho.

Ndoa imevunjika wiki iliyo pita, nilikuwa na jamaa tunachapa biaaaa, kanielezea kilicho msibu na mda ambao hajaishi kwa amani kwa iyo mjihadhali sana na aya mahusiano ya mtandaoni tuwaachie wazungu..
 
Mrejesho.

Ndoa imevunjika wiki iliyo pita, nilikuwa na jamaa tunachapa biaaaa, kanielezea kilicho msibu na mda ambao hajaishi kwa amani kwa iyo mjihadhali sana na aya mahusiano ya mtandaoni tuwaachie wazungu..
Tread closed..!
 
Back
Top Bottom