Aisee! Likes za Jamii Forum Sio Rahisi Kama Maharage ya' Mbea'

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,638
2,720
Hivi wakuu wa JF, kwa nini mnakuwa wagumu namna hiyo kutoa likes kwenye threads za wenzenu? Au kwa vile tunatumia avatars. Sometimes unakuta thread imeenda shule na viewers kibao lakini likes ni mbili au tatu. Ingekuwa FB sasa, mtu ungekuwa na uhakia wa kulamba likes kibao! Mnawavunja moyo waandishi wa threads. Mtawafanya waone JF hailipi wahamie jukwaa jingine. yeah, si mnaona wawekezaja wakiona makampuni yao hayalipi kiivo wanauza hisa na kusepa?

Jamani, kunjueni roho basi mlike ma idea ya wenzenu. Yani roho zenu ziwe nyepesi kama Maharage ya 'Mbea'.
 
Haya kula "like" hiyo
 
Mambo ya FB huwa yananishangaza sana,mtu ameandika anaumwa,then anapata like elfu tatu mia sita tisini na tisa,na ana marafik elfu tatu mia saba.Yaani almost rafik zake wote wame like kuwa anaumwa,ni upuuzi mtupu.ukitaka hizo like,kazichukue huko zinapopatikana kwa wingi.pole sana
 
seems umejiunga kusaka likes.

not all likes are really meaning you are good on what you wrote, others are just mocking you!
 
Mambo ya FB huwa yananishangaza sana,mtu ameandika anaumwa,then anapata like elfu tatu mia sita tisini na tisa,na ana marafik elfu tatu mia saba.Yaani almost rafik zake wote wame like kuwa anaumwa,ni upuuzi mtupu.ukitaka hizo like,kazichukue huko zinapopatikana kwa wingi.pole sana

Wengine hadi mtu anapost habari ya kusikitika kufiwa then anadungwa like...
 
Back
Top Bottom