Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Watu wanakula maisha huko, ila huyu mchinja mang'ombe anaumiaje😁😁😁😁, huyu mnafiki alisigina kunguni haradharani alafu ety pray4vannyπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Shamba sana lile dogo..

Ndio maana dem wake wanamnanii Aiyayayaya!
Mjomba Chumali kachinja mang'ombe Yaani zidi kwa kiti (Acha bwana)
Cha ajabu kazidi ubonge Ila kwenye muziki (Bado sana) 😎😎😎😎
 
Shamba sana lile dogo..

Ndio maana dem wake wanamnanii Aiyayayaya!
Mjomba Chumali kachinja mang'ombe Yaani zidi kwa kiti (Acha bwana)
Cha ajabu kazidi ubonge Ila kwenye muziki (Bado sana) 😎😎😎😎
Hili lilikuwa pigo lake la mwisho kuelekea kupotea🀣🀣🀣
 
Pesa na Mapenzi hatari sana😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Baba mzazi wa kujipa kataka kula bintie wa kambo...πŸ˜€πŸ˜€.Kumbe kipindi hiki alikuwa ana muonea wivu Vanny sasa kipo wapi kumbe nae anataka kipochi.

Ila Mama na mtoto pipa na mfuniko,mwisho wa siku atakaye umia ni binti,Harmo na Vanny wanapiga hela.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom