Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Cha kukusaidia Paula Hana account ya Twitter huyo atakuwa mtu anayejifanya Paula watu Kama hao wapo wengi Sana mitandaoni
Wee nae ulivofunga kibwebwe kushadadia hilo khaaaah, hakuna asiyejua mwaya, tunachangamsha genge tu hapa lol.
 
Vijana wengi wazembe,
wengi waongo,
chumbani butuuuu,
Wazeee wa mndende,
mara mkongo, alkasusuu,
Zamani si ndo majembeeeee😆😆😆😆 hii nyimbo ya chui naikubali sanaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mnyama ni mnya tu .. huwa nafurahi nikisia sana hio verse ya chuui

Aaah eeh! Sarakasi mpaka Tae Kwon Do
Aaah eeh! Kata kata cha mgando
Aaah eeh! Ghetto vita kama ya commando
Aaah eeh! Shika beto mama kula tango

Touch your toes, shake for me
Shake, shake, shake for me
Now hold your knees, shake for me
Shake, shake, shake for me
 
Wasafi tv imefungiwa miezi6 kwa kosa la gigi mpaka sasa ameplay undava upi...embu tuanzie hapo...katika hii nchi diamond ni mtu mdogo sasa yani watu wakiamua yao dk0 anarudi tandale..kuna mtu alikua anaitwa Lugumi alikua tajiri na nyumba kam 200 ivi..muulize sasahivi yuko wapi na anahali gani
Hawa watoto hawana akili, wanamuona Diamond sijui nani, kulikuwa na watu nchi hii...
 
Unapomuongelea Diamond unamuongelea JPM mwenyewe a.k.a ngosha au jiwe..... Waulize TCRA wakwambie kilichowapata baada ya Mond kumpigia simu Mzee , Mzee aliuliza Tu adhabu imeanza Lin , kilichofuata adhabu inaishia mwez huu....Wasafi TV hewani
Nimekudharau sana... Diamond unamuonajr kt nchi hii? Tena nakuambia kt ushawishu hasa kwa vigogo vya serikali hajafuka hata nusu ya marehemu Ruge, Mond amejichafua haaminiki. Hutaki acha
 
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni ACP Japhet Kibona ameeleza kuwa; “Ni kweli walikamatwa jana, hii ni kesi ya polisi na hupaswi kueleza walichokizungumza ni nini ila kilichopo ni kusambaza picha kwenye mtandao bila ridhaa ya mmoja wapo mwenye hizo picha, Hamisa na Rayvanny walidhaminiwa wote“.
 
Nimekudharau sana... Diamond unamuonajr kt nchi hii? Tena nakuambia kt ushawishu hasa kwa vigogo vya serikali hajafuka hata nusu ya marehemu Ruge, Mond amejichafua haaminiki. Hutaki acha

😀😀😀 Sasa tunaanzaje tena kuongelea maswala ya wafu .... Punguza temper Kwanza ndo uje vizur we kima
 
Mnyama ni mnya tu .. huwa nafurahi nikisia sana hio verse ya chuui

Aaah eeh! Sarakasi mpaka Tae Kwon Do
Aaah eeh! Kata kata cha mgando
Aaah eeh! Ghetto vita kama ya commando
Aaah eeh! Shika beto mama kula tango

Touch your toes, shake for me
Shake, shake, shake for me
Now hold your knees, shake for me
Shake, shake, shake for me
Chuiiiiiii🐅🐅🐅🐆🐆🐆🐆🐅🐅🐆🐆🐆
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom