Airtel

issa mweusi

JF-Expert Member
May 31, 2015
1,477
1,137
Hivi wanajamii Hawa airtel na HUDUMA yao ya timiza mkopo wanafaidika vipi mana watu hawaminiki siku hizi ....
 
Hivi wanajamii Hawa airtel na HUDUMA yao ya timiza mkopo wanafaidika vipi mana watu hawaminiki siku hizi ....
Wananufaika kupitia riba wanayoweka

Mfano waweza kukopeshwa TSH 35,000,

Na ukatakiwa urejeshe TSH 39,000

Hivyo hapo faida yao ni tsh 4,000
 
Back
Top Bottom