Airtel wazidi kupaa hadi 3·75G

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
69,364
94,545
Jamani basi jekundu limeamua kweli na sidhani kama litakwama kwani hivi sasa imeanzisha kitu cha 3·75G so sweet lets enjoy high speed internet
souce clouds
 
Sawa naunga mkono hoja . Ila bei zake je?
Mimi ningefurahi sana ikiwa wangepunguza bei zao, maana hata 3G inafaa sana tu kwa matumizi yetu ya kila siku.
Kiukweli watumiaji wengi sana matumizi yetu ni ya kawaida sana, tatizo letu hasa ni bei na kuyumba yumba kwa network.
Lakini pia sina hakika ni kwa nmna gani hii 3.75g itakuwa bora zaidi ya hii 3g tuliyokuwa tunahangaika nayo. Maana hata hiyo 3g si maeneo yote ya nchi yanayofikiwa na huduma hii.
 
Jamani basi jekundu limeamua kweli na sidhani kama litakwama kwani hivi sasa imeanzisha kitu cha 3·75G so sweet lets enjoy high speed internet
souce clouds

Changa la macho hilo 3.75G ni Mobile Technology au Ni Value Added Service?
 
Mm hata sijui wanaweka 3.75G wakati tunalalamika muda wote ni edge..siwapendi airtel kwa hili
 
jamani wanaleta 3.75G kabla hatta hawajaboresha upatikanaji wa 3G,wengine tunapata edge 2 na spidi ya kobe
 
Back
Top Bottom