Airtel wananitoa stress nikisikiliza hili Tangazo...

kyatamato

JF-Expert Member
May 14, 2015
387
269
Duh…!! duka limejaa.. hapa nitapata kila kitu,
Mangi: - Karibu mdogo wangu nikusaidie nini??..
Mteja.. - hiyo feni shi. ngapi??
Mangi - hiyo pangaboy sh. 55,000/-
Mteja - Panga…?!!
Mteja - na hiyo body spry
Mangi - 6500/-
Mteja- unaandika lakini???!!
Mangi - si ndo hapa naorodhesha…!!!
Mteja - hee… jumla sh. ngapi??
Mangi - elfu 65 na 500..
Mteja- Haa.. Mangi unaua Bendi
Mangi - kwani we umejipangaje??!!
Mteja - Bukuuu..!!
Mangi - Bukuuu..??..!!!… Ndorooooboooo… hiyo buku si bora ukanunue gazeti ujipepee… hahaAaa…
hivi wadau kuna video ya hili tangazo??? sababu me bado sijaona na kama hawajalitengeneza .. hawajanitendea haki…
 
Una uhakika ni la eateli?? ni tangazo la kondomu hilo ukilisikiliza kiundani zaidi!
 
Back
Top Bottom