Airtel walikuwa wametuchanganya, mb zetu kwenye modem zilikombwa, ila wanajirudi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel walikuwa wametuchanganya, mb zetu kwenye modem zilikombwa, ila wanajirudi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Muganyizi, Jan 29, 2011.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Yaani hamuwezi kuamini kilichotokea juzi tarehe 26/1/2011 baada ya watu wa airtel kukomba bundle zote kwenye modem. Yaani maisha yetu yalikuwa magumu maana tulishindwa kuaccess jf. Tukakaaa hivyo hivyo sasa ndo wanaanza kurudisha taratibu. Kwa hali hii tunaanzakuwa na utata. Matokeo yake wengine walishaanza kusema ra anahusika! Sasa hivi kila chenye kuhujumu uchumi nchini ni ra.haya bwana
   
 2. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du kweli kabisa, mbona asitueleze? mm walikomba kabisa sasa wamenipa credit natumia -ve
  ushukuriwe Ta Muganyizi kutujuza ila R.A ni mwizi tu kaanzia mbali toka mweka Hazina wa Chama akakomba kule BOT wakati wa awamu ya 3 hadi leo Dowans anaUraia wa nchi zaidi ya 2 usimtetee unataka ushahidi gani zaidi,
   
 3. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nilifikiri ni mimi tu kumbe ilikula kwa wote? Nililambwa maelfu ya Tshs kwa sekunde 8 tu! Ila hawajanirudishia, ngoja ni wasake.
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mie vilevile natumia -ve kwani ilibidi niende ofisi hizo fasta, wale ambao hawakushtuka wameliwa. Wakaniomba radhi wakasema yaani kitengo cha data kimekomba kila kitu wakaomba samahani wakanitumia meseji hii

  Name:
  Number: Airtel-TZ
  Content:
  Dear Customer, We are working on your query. Your reference no. is 300215. We will contact you shortly.
  Time: 27/01/2011 11:46:16, NIKAZIDI KUWAMIND NA KUWAFUATILIA.

  BAADAE WAKATUMA HII

  Name:
  Number: AIRTEL
  Content:
  Mpendwa Mteja,Tunaomba radhi kwa kukatwa pesa zaidi ulipokuwa unatumia huduma yetu ya Intaneti.Tatizo limeshatatuliwa na utarejeshewa kiasi ulichotozwa zaidi
  Time: 28/01/2011 06:53:30

  NDO WAKAAMUA KUFANYA HIVI

  Name:
  Number: 15444
  Content:
  Asante kwa kutumia huduma za Airtel, Umetumia -523MB katika kifurushi chako cha 400MB .Umebakiwa na 923MB kifurushi chako kitamaliza muda wake 25-02-2011.
  Time: 29/01/2011 07:59:03

  HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
   
 5. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #5
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kwa kiasi fulani huu ni uungwana ila nawaombeni nyie Airtel kuwa na wale ambao hawajastukia haka katatizo muwarudishie fedha zao na MB au GB zao. Maana wengine walichofanya ni kuzipiga chini hizo modem na kununua za voda Loh! laikini mkiwarudishia watafurahi ile mbaya. Kama vipi niongezeeni hapa kwa namba hii ohoooo, maana nimewatetea eti lazima mfikirie TAKRIMA!!!
   
 6. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Wadau mwenzenu niliweka 3gb lakini iliisha baada ya kufungua tu JF sasa hapo nifanye nini ili nirudishiwe balance yangu!!
   
 7. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #7
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  pamoja na hayo inabidi tuelezwe what happened na tufanye nini ili isitokee tena. watuhakikishie pia kuwa haitokei tena
   
 8. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #8
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mwana wapigie customer care au uende moja kwa moja kwa AIrtel office iliyoko karibu watakurudishia wewe cheki message walizonitumia mimi na baadae wakanirudishia tena zaidi. Komaa mwana yaani tatizo hili lilitokea kwa watu kibao ila hawajashtuka ukikaa kimya imetoka.
   
Loading...