aztec
JF-Expert Member
- Sep 7, 2018
- 390
- 244
Paypal ya tz haipokei pesaVip mkuu ukishalink unaweza kupokea pesa kutoka PayPal kuna kwenye master card yako au no kutuma tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Paypal ya tz haipokei pesaVip mkuu ukishalink unaweza kupokea pesa kutoka PayPal kuna kwenye master card yako au no kutuma tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetumia juzi kununulia domain name iko vizuri,nilichopenda haihitaji kuhamisha hela kwenda kwenye card -airtel money yako inakuwa linked na mastercard
Inatuma na wakati wa kutoa pesa utachagua currency yakutumiaMkuu samahani, naomba kufahamu je naweza kutumia hii airtel mastercard kutuma pesa moja kwa moja kwenda paypal ya nchi nyingine.
Je hela kwenye hii laini inabd niibadili kwenda dollar kabisa ndio nitume?
Ahsante
Mkuu kwenye menu yao naona wameweka nchi za east africa vipi inaweza kutuma kwenda west africaInatuma na wakati wa kutoa pesa utachagua currency yakutumia
There is no way pesa mtu wa Tanzania ataweza kupokea pesa kwa paypay account yake au kwa Benki accont yake kutoka paypal. Airtel au benki yoyote hawatakuwa na cha kukusaidia hapo.Airtel MasterCard inakupa taarifa ya mchukuaji pesa yan mf google,paypal, AliExpress ktk sms ya muamula na hii ndio sababu inakuwezesha kuilink na PayPal kwa kuzipata zile code zao ktk sms.Airtel MasterCard inadumu kwa miez 12 tangu siku uliyoitengeneza na unaweza kuifuta na kutengeneza mpya muda wowote.Makato ya kadi yao yako kulingana na exchange rate ya siku husika.Sijajuta kuwatumia.Kama wanashaurika basi wafanye namna watungee na PayPal kupokea pesa toka nje hili nila msingi na tamaa kubwa kuipata huduma hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kupokea hela kutoka paypal ukiwa Tanzania.vipi kupokea pesa kutoka payball kwenda airtel mastercard inakubali?
Hata mimi huwa nawish ingekuwepo online visa card. Ningekuwa mteja wao wa kwanza.
Unaandika anwani yakomkuu naomba unielezee billing address kwa paypal unajaza ipi? maana nakwama sana kipengele cha billing address
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa nikitumia kununua bidhaa na huduma online kwa card za CRDB, Vodacom na sasa nimetumie ya Airtel.
Kwa nionavyo mimi hakika Airtel wameifanya vyema huduma yao na namna unavyoona makato at a time.
CRDB imekuwa ikikaa mara kwa mara kwa baadhi ya miamala japo unakuta ilishakubali hapo awali.
Vodacom imekuwa ikikataliwa baadhi ya mitandao na makato yao duuuu soo poa.
Airtel wana makato nafuu na huduma imefanywa kuwa rahisi.
View attachment 1299365
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawa wa adsense wanapokea vipi malipo yao?Huwezi kupokea hela kutoka paypal ukiwa Tanzania.
Paypal walishashindwana terms na Tanzania.
Sio nzuri kiusalama kivipi?Airtel n nzur lakini si nzur kiusalama pesa wanakata direct kutoka kwrnye account ya airtel money
Nnamwez wa 3 nilinunua bidhaa online airtel hela wamekata Kyle haijafika airtel wanapiga tarehe tu zitarud zitarud mpaka nmeanza kusahau hawana msaada wowote zaid ya kupiga Dana Dana so kuwa makini
Janga ulijisahau vipi mpaka ika expire mkuu badala uiendeleze binafsi nilisha refund pesa toka Ali express lakin kadi nilikua naifatilia isiishe muda kabla ya pesa yangu kuingia nilii iendeleza ila baada ya covid niliiacha ika expireMsaada ...nimerefund pesa kutoka aliexpress lakin card ime expire date ya airtel money...na seller amerefund kwenye account hiyo.... hiyo pesa itaingia au mpaka niende kwenye maduka yao
tatizo nilikuwa ninaamini mzigo utakuja..swala la kurefund halikuwepo sasa ndo imetokea...uwezo wa kupata upo auJanga ulijisahau vipi mpaka ika expire mkuu badala uiendeleze binafsi nilisha refund pesa toka Ali express lakin kadi nilikua naifatilia isiishe muda kabla ya pesa yangu kuingia nilii iendeleza ila baada ya covid niliiacha ika expire
Utapata Wala usiwe na wasi wasi.tatizo nilikuwa ninaamini mzigo utakuja..swala la kurefund halikuwepo sasa ndo imetokea...uwezo wa kupata upo au