Airtel Tanzania tumewafanya nini wananchi wa Wilaya ya Songwe?

jajawajaja

Member
Jul 3, 2020
5
75
Leo ni wiki ya pili sasa mtandao wa AIRTEL unasumbua mawasiliano yake katika wilaya hii.kuanzia kupiga simu kwani unakuta simu iko hewani lakini unaambiwa haipatikani au ikipatikana hamuelewani kwani simu inakatika katika.

Kwenye internet ndio kabisa, mawasiliano hakuna. Naomba mtuambie shida nini au sisi kosa letu kuwa wateja wenu ndio mnatutesa hivi sasa nimejiunga kifurush cha mwezi leo wiki ya pili sina mawasiliano na hela yangu mmechukua.

Si bora mnirudishie nijiunge hata na vodacom.kwa kweli mnatukwaza sana.

Nimepiga 100 mara nyingi sana juu ya hili

TCRA NAOMBA MUWAMULIKE HAWA AIRTEL.ZILE FINE MLIZOWAPIGA WALA HAWAJAJIREKEBISHA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom