Acha ufala kwenye issue sensitive Kama hiyo...tumekusikia na tutalifanyia kazi, ila na wewe upunguze umalaya..najua kinachokusumbua ni kile unachotaka kuwapigia mademu zako daily.
Gari uliosafiri nalo lilikuwa linatembea kwa spidi kubwa kuliko data za Airtel. Imagine umemtumia wife anunua msosi unafika na yenyewe ndio inaingiaAirtel walikuwa wanafanya janja janja kuishi baada ya kuuishi uhalisia wamekuwa watu wa hovyo! Nilituma hela nikiwa kwenye basi isaka nakuja dar mpaka nafika dar sijapokea sms na nliemtumia hajapokea hela, tangu wauze minara wamekuwa washenzi kupita kiasi! Internet yao kwa sasa kufika speed ya 1mbs/sec ni vigumu mno!
Wajitafakari
Mkuu upo eneo gani unapopata hii call drop?Habari Tanzania,
Ninaandika kuwafikia Airtel Tanzania technical team. Kumekuwa na tatizo la kimtandao kwa muda sasa. Simu sikipigwa zinakatika tu, (calls drop). Tunaomba mtutatulie ttzo hilo ili tuendelee kufurahia huduma zenu.
Ahsanteni