Airtel Tanzania slashes data prices by 85%

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,681
8,233
''Airtel Tanzania has announced an 85 percent drop in its mobile data price from TZS 40 per megabyte. MD George Mathen, said customers' daily data patterns have increased recently and it is introducing the new data rate in response to this demand.'' ..... ..... .... .....

Mambo ya kulialia oh chijui data bei ghali hakuna tena. Kudos Airtel! TTCL wako wapi?
 
Shida mtandao wao hauko strong maeneo yote, Voda they are the dearest but maeneo mengi mijini ma vijijini network yako ya internet iko so strong.
 
40tzs/mb = 40,000tzs/gb
 
Wasije waka slash na speed ya internet katika hivyo vifurushi kama halotel! Doesnt make sense umuuzie mtu unlimited data halafu umpe speed kwa 3.5GB za awali tu kisha ni 30kbps
 
Tafuta 85% ya 40Tshs kisha ipunguze kwenye bei ya sasa ambayo ndio hio 40Tshs!

Kihesabu:
85/100*40= 34

40-34= 6

Kwahio, bei ya sasa ni Tshs.6 per MB!

6*1024= 6144 tsh per GB! Usenge...hamna afadhali!!!
Najua.
Nawaza tu 40k kwa gb 1.
Baada ya hiyo slashing kitu kama 6k kwa 1gb
 
Lakini si mkongo wa taifa ndio wanatumia inakuwaje speed iwe ndogo? TCRA wafanye uchunguzi kuna watu wanamchezo unafanyika. Haiingii akilini kwa nini bei ziwe juu kiasi hicho. Je, hilo punguzo la 85% sio sababu tosha kufanya uchunguzi kuona nini kilikuwa nyuma ya pazia?
 
Wamepunguza huko sijui kwende data kisha huku kwenye airtel money wakarudisha zile garama za kutuma pesa naona siku hizi syo bure tena sis wapenda ganda la ndizi imeshakula kwetu
 
Najua.
Nawaza tu 40k kwa gb 1.
Baada ya hiyo slashing kitu kama 6k kwa 1gb
Ujinga tu, bei inatakiwa iwe in cents kama kweli wanataka iwe nafuu kwetu. Vingenvyo watarudi pale pale kwa 1 T.shs per MB ambako ndio kwa wale walio nafuu!
 
Mbona bei za bundle ni zile zile tu 3GB kwa 2000/= alaf speed yao tatizo ni ya kawaida ukilingansha na vodacom
 
Shida mtandao wao hauko strong maeneo yote, Voda they are the dearest but maeneo mengi mijini ma vijijini network yako ya internet iko so strong.
Vodacom nao sikuhizi wamekuwa vilaza tu kwenye spidi ya internet!
 
Back
Top Bottom