Airtel Tanzania ondoeni hii meseji mnayotuma kwa wateja kila muda, pindi wanapopiga simu na kukata simu. Ni kero

Kayombo Tips

JF-Expert Member
Jun 19, 2020
571
490
Screenshot_20210703-140449.png

Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii.

Na hii ni huduma ambayo sikujiunga nayo. Ila mmeamua tu kuanza kutuma. Angalau mngekuwa mnatuma kwa siku mara moja, lakini ninyi mnatuma kila sekunde.
 
View attachment 1838776Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii.
Na hii ni huduma ambayo sikujiunga nayo. Ila mmeamua tu kuanza kutuma. Angalau mngekuwa mnatuma kwa siku mara moja, lakini ninyi mnatuma kila sekunde.
Bado unatumia Vpn mkuu
 
Piga namba 100 uwaombe wakuondolee au kama vipi unaingia kwenye seting za sms una mute sms zote za kibwege nazi.
 
Piga namba 100 uwaombe wakuondolee au kama vipi unaingia kwenye seting za sms una mute sms zote za kibwege nazi.
Nimewapigia zaidi ya mara tatu, majibu ni kuwa system yao ndiyo imepangiliwa hivyo. Kwa hiyo ili kutoa hiyo kero lazima waingie kwenye system yao na kuondoa mpangilio huo
 
WTH's warries?

Ni aibu kwa company kubwa kuonyesha makosa madogo kama hayo, clearly inaonyesha udhaifu wa company kwenye maswala ya umakini.
 
Piga namba 100 uwaombe wakuondolee au kama vipi unaingia kwenye seting za sms una mute sms zote za kibwege nazi.
Nimewapigia zaidi ya mara tatu, majibu ni kuwa system yao ndiyo imepangiliwa hivyo. Kwa hiyo ili kutoa hiyo kero lazima waingie kwenye system yao na kuondoa mpangilio
Walambe block maisha yasonge

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile

WTH's warries?

Ni aibu kwa company kubwa kuonyesha makosa madogo kama hayo, clearly inaonyesha udhaifu wa company kwenye maswala ya umakini.
Kweli kabisa mkuu. Yaani lugha yenyewe wanakosea kabisa. Umakini sifuri kabisa hawa jamaa
 
View attachment 1838776

Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii.

Na hii ni huduma ambayo sikujiunga nayo. Ila mmeamua tu kuanza kutuma. Angalau mngekuwa mnatuma kwa siku mara moja, lakini ninyi mnatuma kila sekunde.
Mimi Line ya Airtel nilishaitupa mda sanaa, wanasumbua unaweka vocha ya wiki, unatumia siku mbili tu, mda mwingine inakua hapo hewani, yani Airtel ni hovyo kupita maelezo
 
Kuna simu automatically zinazuia meseji zinaitwa cell something jina limenitoka zingine hazina hiyo feature so kuna watu huo ujumbe hawapati. Mimi ndiyo kwanza nauona leo
 
Kuna simu automatically zinazuia meseji zinaitwa cell something jina limenitoka zingine hazina hiyo feature so kuna watu huo ujumbe hawapati. Mimi ndiyo kwanza nauona leo
Hapo sawa. Ila ujumbe huo unakera sana. Kila unapo mpigia mtu, lazima watume jumbe hizo na ukikata simu lazima watume jumbe hizo. Mpaka inakuwa kero kufuta jumbe zao kila muda. Kuna wakati inaingia meseji, unakimbilia kufungua ukidhani ni meseji muhimu, unakuta meseji ya mtandao. Inakera sana
 
Yes
Sawa na vodacom kww kwa masg yao ya umeishiwa na sijui nini?
Yeah na Vodacom nao wanatuma meseji zao nyingi pindi salio lako likiisha. Wanadhani wakituma meseji moja kwamba salio lako limeisha hutaelewa au vipi. Wanakera nao.
 
Back
Top Bottom