Kayombo Tips
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 572
- 490
Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii.
Na hii ni huduma ambayo sikujiunga nayo. Ila mmeamua tu kuanza kutuma. Angalau mngekuwa mnatuma kwa siku mara moja, lakini ninyi mnatuma kila sekunde.